Leo nmekula sahan mbili za wali maharage samak na kisamvu

Leo nmekula sahan mbili za wali maharage samak na kisamvu

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Wakuu,mnajua ubachela ni mzigo,..kuna baadh ya vyakula sili tena et,..na ikitokea nikavibabatiza mahal hua nachanganyikiwa kabsaaaaa

Leo kuna kona moja hiv mitaa ya diamond jubilee jamaa yangu alinambia pana msos mzur,.si pasaf sana kwakwel,..ila kiukwel sjawai kula chakula kama kile,kiukweli...misos kama ile nkiendaga nyumban ndio mama yangu hua anapika napata ile taste,.

Ila sio dem /madem/mchepuko wangu ama mwanamke yoyote aliwai pika nkala msos ka ule,..kiukwel yule mama anaepika pale leo kanifanya nione kua kuna umuhimu wa kwakwel kuchagua mwenza wa ndoa ambae yuko vzur jikon,

Nmekula had watu wakawa wananiangalia mara mbil mbil.maana baada ya sahan ya kwanza,nkamaliza nkaagiza nyingne

Vyakula vya kiofis ofis havina ladha,halaf unawai shiba mapema sjui kwanin.
Jaman mim napenda sana maharage,samak,kisamvu na ubwabwa.daaah,..aww na mchuziiii

Samahanin kwa uzi wa kijinga,ila nmeona nishee furaha yangu na wakuu
 
images.jpg

Hivi ndivyo nilivyo pata chakula changu cha mchana
 
Kwa Kawaida Kabisa, Mimi Nakula Sahani Mbili Za Wali! "TENA ZILIZOSHIBA" ukinipa sahani moja, nitajikausha tu. lakini kiuhalisia, nitakuwa sijashiba vema.
Hahahaha,kwamba,..kiukwel sahan moja hutoshek,ila mbili ndo angalau sasa.hahaha
 
Sahani mbili umemaliza mwanaume wa dar????!!!!!!
Shushia bia nitalipa
Mama,...vile vyakula skuhiz adimu,so ukikibahatisha unapiga,.

Skuhiz mkija kwetu mnapika spaghet na sausage au beef,au mnakaanga machips na makuku,.mi catch up inamiminwa mtoto wa kike anajua hapo ndo atanifurahisha,kumbe mi najifanya kumwitikia na kumsifia kua dah msos mtam kumbe rohon naona kaniharibia njaa yangu tuu.hovyo kabsa

Kitu real food,upate hapo ugal,mchicha kidogo,maharage ni must to me,.bamia bamia niiin..samak kibua kakaangwa vzur na pilipil ya kipemba/achali...au ubwabwa wa nazi saaafi,kachumbar kwa mbal,aseeeee,hapo mtu kama mim lazma nijae
 
Ukitaka kula alafu muda huohuo usahau upike tena ule, jaribu kuvuta kushabu!
 
Sahani mbili tu ndo unafungua thread?njoo huku udzungwa watu tunafuta vijisinia deile. Japo kwa dar mkuu ni halali kwenu, ila huku hizo sahani ni za under17
 
Back
Top Bottom