Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Wakuu,mnajua ubachela ni mzigo,..kuna baadh ya vyakula sili tena et,..na ikitokea nikavibabatiza mahal hua nachanganyikiwa kabsaaaaa
Leo kuna kona moja hiv mitaa ya diamond jubilee jamaa yangu alinambia pana msos mzur,.si pasaf sana kwakwel,..ila kiukwel sjawai kula chakula kama kile,kiukweli...misos kama ile nkiendaga nyumban ndio mama yangu hua anapika napata ile taste,.
Ila sio dem /madem/mchepuko wangu ama mwanamke yoyote aliwai pika nkala msos ka ule,..kiukwel yule mama anaepika pale leo kanifanya nione kua kuna umuhimu wa kwakwel kuchagua mwenza wa ndoa ambae yuko vzur jikon,
Nmekula had watu wakawa wananiangalia mara mbil mbil.maana baada ya sahan ya kwanza,nkamaliza nkaagiza nyingne
Vyakula vya kiofis ofis havina ladha,halaf unawai shiba mapema sjui kwanin.
Jaman mim napenda sana maharage,samak,kisamvu na ubwabwa.daaah,..aww na mchuziiii
Samahanin kwa uzi wa kijinga,ila nmeona nishee furaha yangu na wakuu