Leo Oktoba 7 ni siku ya kuzaliwa ya Jakaya Kikwete, 'Mr. born town'

Leo Oktoba 7 ni siku ya kuzaliwa ya Jakaya Kikwete, 'Mr. born town'

Wanufaika wa ufisadi, ufiraji na mauaji, hizo posho mnazokula zitawatokea puani.
Nasemaje nasemaje..mungu aendelee kumlinda kila iitwapo leo!
Kama imekuuma chomoa! Na kama na ww unataka kuwa mnufaika sema si ni rahisi eeh!.
Ukikerekwa sana andamana nyama ww
 
Ni mjinga anaefikiri Samia ataendelea kuiongoza hii nchi kwa miaka mitano ijayo... tunza haya maneno.
Samia ndo kwanza anapasha misuli joto kuongoza nchi miaka mitano ijayo, simkubali samia ila bado hakuna mtanganyika wala maandamano ya kumtoa hapo labla JWTZ imchomoe kitu ambacho ni 0.1%
 
Samia ndo kwanza anapasha misuli joto kuongoza nchi miaka mitano ijayo, simkubali samia ila bado hakuna mtanganyika wala maandamano ya kumtoa hapo labla JWTZ imchomoe kitu ambacho ni 0.1%
Anatoka huyo mama...
lazima atoke kwa vyovyote vile.. iwe jeshi au wananchi kuandamana...
 
Uzembe wa mzee mrisho kushindwa kumwagia nje matokeo yake nchi nzima inapigwa mnada
 
Back
Top Bottom