Leo radi zinapiga sana, Mwanangu wa Miaka 3 nimefurahi aliponiuliza kama ni mabomu

Leo radi zinapiga sana, Mwanangu wa Miaka 3 nimefurahi aliponiuliza kama ni mabomu

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Nawashukuru sana Polisi kwa kupiga mabomu na Risasi.

Sasa sijui mtatutisha na nini tena. Kama Mabomu mumepiga hadi mkachoka, yakawaishia mkaanza tumia risasi.. Maji ya kuwasha tumewashwa sana.

Mwanangu sasa hata Mlio wa mabomu haogopi tena. Kabla alikuwa anasikia radi tu anaanza kulia.

Asanteni kwa kumjengea Ujasili Gen Z wangu ajaye.

Mtakuwa mnarusha bomu la machozi analiokota anawarudishia.

Mtawatisha na nini tena.

Mumejarribu kutuua si mumeona mumeshindwa? Bado tupo tena wengi tu na tuna Morali kubwa.

Wapinga maovu na watetea haki, huwezi kuwaua uamalize.

Tutawalazimisha mema nyote wauaji na Samia wenu
 
Mwambie Magufuli analia kwa jinsi samuya alivyoonesha ujambazi na umwamba stiliwaya kuliko yeye mkulungwa wetu.
 
Back
Top Bottom