Leo RAJA wanapiga mtu kama ngoma kwa Mkapa

Leo RAJA wanapiga mtu kama ngoma kwa Mkapa

Umeelewa hata ulichoandika? Anyway sio lazima Mungu akuridhishe kwa kika unalolitamani. Kwa che nkapa hatoki munu.
 
If you khow you khow

Leo RAJA wanapiga mtu kama ngoma kwa mkapa

Pamoja na vichezaji wa bure vya simba leo wanaenda kuaibishwa sana


Natanguliza pole kwa mashabiki wa Simba

Raja sio NAMUNGO
Kuna mtu kamuelewa huyu mtumishi??
 
Wanaona kama muda hauendi ili waanze kazi.
20230218_084556.jpg


Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
If you khow you khow

Leo RAJA wanapiga mtu kama ngoma kwa mkapa

Pamoja na vichezaji wa bure vya simba leo wanaenda kuaibishwa sana


Natanguliza pole kwa mashabiki wa Simba

Raja sio NAMUNGO
Naunga mkono hoja
 
Kila la kheri mtani kushinda kwako ni fahari kwa taifa, Kilala kheri my team young Africans sc
 
Tumekuja kuwashikisha adabu hawa [emoji881]
Waandae kapu la kubebea magoli tutawagonga kama zile tulizowagonga ndugu zao wa gongowazi miaka ileee[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom