LEO saa 5:00 usiku, Raisi wa Yanga SC, Hersi Said atazungumza na Wanachama na Mashabiki wa Yanga

LEO saa 5:00 usiku, Raisi wa Yanga SC, Hersi Said atazungumza na Wanachama na Mashabiki wa Yanga

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,699
Reaction score
9,323
LEO saa 5:00 usiku, Raisi wa Yanga SC, Hersi Said atazungumza na Wanachama na Mashabiki wa Yanga.

Shughuli hii itakuwa mubashara kupitia AzamSports1HD kuanzia saa 5:00 usiku.

Screenshot 2026-07-24 213202.png
 
Huyu striker anatakiwa atu prove wrong mashabiki wengi tuliokosa imani naye. Kumsajili mshambhliaji ambaye hana uzoefu wowote ule na soka la Afrika ni sawa tu na kucheza kamari.
 
Back
Top Bottom