Leo saa 8, Yanga ataambulisha jezi mpya za msimu 2024-2025,

Wallahi hersi akikutangazia akuone Wala hujiulizi hata mara ya pili, unsmkubalia mara moja dadeki.
 
Mleta mada usidhani tumesahau. Hayo matambala uliyosema mtayatoa leo yako wapi?
 
Chanzo cha hii habari?
 
Kule UTOPOLONI wenye akili ni kikwete na fundi, mtaalam Sunday manara KOMPYUTA.
 
Kama kweli ni hivyo basi yanga bado ni timu isiyo na ushawishi yaani mambo hayaendi bila Kiki ? We uliwahi kuona Realmadrid anafanya Kiki kabla ya kutambulisha jezi?
 
Mkuu bado tunasubiri uzinduzi wa jezi tangu jana. Au tuondoke kwanza? 🤣🤣🤣
 
Wapi jezi ndugu, mbona siri imekuwa kubwa?
 
Dooh hivi kumbe suala la jezi nalo ni kitu cha kuwachekea wapinzani, au uzinduzi wa jezi ndio unadetermine ushindi wa makombe, hatari sana
Ile jezi ya njano ndio huua makolo khamsa ishirini nimefanya utafiti mdogo nikaona hilo, au unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…