Leo Samata kacheza ovyo kabsa toka nimfahamu

Yaani tulipokuwa tukiangalia mpira alikuwepo bro mmoja full madongo kwa Samagoal mpaka anachefua,eti Samata hajui mpira.Tukamwambia kuwa Samata katekeleza majukumu yake ila bahati haikuwa upande wake,na golikipa katekeleza majukumu yake na bahati ikawa upande wake.Wabongo acheni ushabiki maandazi.
 
Amefanya kazi yake vizuri, kuwafanya mabeki wa guinea kumuangalia zaidi yeye hivyo wengine walipata nafasi kupress! It's team work, every body gave 100 % . Spirit ya kupambana ya wachezaji wetu imeimarika sana, na Ile kuchoka sana dakika za mwisho haipo tena, sisi washangiliaji bado kidogo.... tukomae
 
Lini Samatta alicheza vizuri timu ya taifa?

Saimon Msuva anatubeba sana, hakati tamaa, anapambana sana.

Samatta akija huku anacheza kifaza sana
Hata siku Msuva akiyafikia mafanikio ya Samatta utakuja kuandika hivi hivi. Serious Samatta hachezagi vizuri timu ya Taifa?
 
Hata siku Msuva akiyafikia mafanikio ya Samatta utakuja kuandika hivi hivi. Serious Samatta hachezagi vizuri timu ya Taifa?
Tiririka hapa, lini alicheza vizuri?
Mfumo wa Taifa stars na Genk ni tofaut kabisa ndiyo maana ule ubora wa Genk sio kama wa huku
 
Tiririka hapa, lini alicheza vizuri?
Mfumo wa Taifa stars na Genk ni tofaut kabisa ndiyo maana ule ubora wa Genk sio kama wa huku
Kwahiyo unasuggest nini mkuu atemwe timu ya taifa au? mimi Samatta namjua ni mchezaji mzuri ila sitegemei afunge kila mechi au apige chenga uwanja mzima siku zinatofautiana ila anabaki kuwa mtu muhimu taifa stars... lakini mashabiki wa soccer lawama ni kawaida yao Mfano Asamoah Gyan wema wake ulisahaulika kwa siku moja baada ya kukosa penat na Messi pia baada ya kukosa penat fainali akaonekana si chochote hadi akaamua kustaafu... Mashabiki wa mpira hawaridhiki kwenye mafanikio mtafurahi wote ila kwenye failure wao ndo wanakunyooshea vidole
 
Ndio mpira mkuu siku zote game haiwezi kukubali kuna siku pale OT kina Rashford hao kina Tammy Abraham pale Cheltako unaweza ukawakataa all in all timu inatia moyo uchezaji wake sijui na away itacheza vizuri Mungu atusaidie
 
Wametunyimia tuta lake la wazi kabisa.

Mpira ulimgomea tu. Kulikuwa na 3 goals kutoka kwake.
Mpira ulimgomea tu jana na ni kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…