Yaani tulipokuwa tukiangalia mpira alikuwepo bro mmoja full madongo kwa Samagoal mpaka anachefua,eti Samata hajui mpira.Tukamwambia kuwa Samata katekeleza majukumu yake ila bahati haikuwa upande wake,na golikipa katekeleza majukumu yake na bahati ikawa upande wake.Wabongo acheni ushabiki maandazi.