Leo Simba anashinda dhidi ya Kagera Sugar

Nasikia hivi sasa ni Dakika ya 47 ngoma bila bila...

Kumbe Kaitaba wameweka taa!!!
 
Nuksi mnakuja kwa fujo na nuksi zenu.

nawaambia hivi Simba gari lishawaka kuanzia hii mechi ya leo akuna mechi tutaacha kuchukua point tatu.

Simba nguvu moja.
Ha haaaa Mikia FC bana.
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…