Leo Simba anashinda dhidi ya Kagera Sugar

Leo Simba anashinda dhidi ya Kagera Sugar

Nuksi mnakuja kwa fujo na nuksi zenu.

nawaambia hivi Simba gari lishawaka kuanzia hii mechi ya leo akuna mechi tutaacha kuchukua point tatu.

Simba nguvu moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nuksi mnakuja kwa fujo na nuksi zenu.

nawaambia hivi Simba gari lishawaka kuanzia hii mechi ya leo akuna mechi tutaacha kuchukua point tatu.

Simba nguvu moja.

Kama kawaida hata point moja hamjapata
 
Tuliwaambia makolo, mapinduzi cup waachieni azam, wakaleta ujuaji, haya sasa mwaka huu mna gundu adi mtakapo litema hilo kombe lenye gundu mwakani……
 
Wanasimba wote msiwe na wasiwasi leo huyu kagera sugar hasira zetu zote tunaenda kummalizia yeye, kosa lao Uwanja wao kuwa mzuri ndio kitachowacost
Sawa[emoji1666]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom