Leo Simba kashinda, husikii mapungufu ya Simba, Siku akifungwa, yataanza yale yale tuliyoyazoea

Leo Simba kashinda, husikii mapungufu ya Simba, Siku akifungwa, yataanza yale yale tuliyoyazoea

Raha ya matokeo mazuri Huwa inapofusha watu kuhusu mapungufu ya timu husika, ila mapungufu hayawezi kukosekana
 
Hakuna timu isiyokua na mapungufu bali hutumia hayo mapungufu kujiimarisha.
 
Mashabiki wa simba furaha yao ni kuona timu yao inashinda hata kwa kuwahonga marefa. Ikifungwa ni kelele mji mzima.
 
Habari ndio hio si kwa mashsbiki si kwa wachambuzi Simba imekamilika.

Subirini siku wapoteze matasikia watavyogeuziwa kibao kuanzia kocha mpaka wachazeji bila kusahau mfadhili wao.

Muda utasema
Timu inakuwaje na mapungufu wakati imeshinda?
 
Simba akifungwa leo na Mashuja ni lazima tumtoe mangungu kafara.
Timu itakuwaje na mwenyekiti mwenye elimu ya darasa la saba?
 
Habari ndio hio si kwa mashsbiki si kwa wachambuzi Simba imekamilika.

Subirini siku wapoteze matasikia watavyogeuziwa kibao kuanzia kocha mpaka wachazeji bila kusahau mfadhili wao.

Muda utasema
Pigaaa keleeee...
Libase motoooo....
 
Back
Top Bottom