mrumbegenerarion
New Member
- Aug 26, 2017
- 1
- 1
Hukuwa na sababu ya kuanzishs uzi ungeenda kwenye uzi maalumu wa simba halafu hii ingekuwa comment tu.Kwa mpira mliocheza na kiwango kizuri mlichoonesha, m nastahili pongezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitumwa wapi?Mnajisifu kuifunga Ruvu Shooting ambayo haikuwa na wachezaji 7 wa kikosi cha kwanza?
Delle Alli
Ligi ndo imeanza iwe na wachezaji kamili au vipMnajisifu kuifunga Ruvu Shooting ambayo haikuwa na wachezaji 7 wa kikosi cha kwanza?
Delle Alli
7G
Mnajisifu kuifunga Ruvu Shooting ambayo haikuwa na wachezaji 7 wa kikosi cha kwanza?
Delle Alli
Wachezaji tisa wako Rwanda michuano ya majeshi
Timu inasajili zaidi ya wachezaji 20.Mnajisifu kuifunga Ruvu Shooting ambayo haikuwa na wachezaji 7 wa kikosi cha kwanza?
Delle Alli
Azam ipo siku zote mkuu.Timu za majeshi zifutwe VPL..mechi ijayo mnacheza na Azam FC