Leo simba mmenitendea haki

Leo simba mmenitendea haki

Mnajisifu kuifunga Ruvu Shooting ambayo haikuwa na wachezaji 7 wa kikosi cha kwanza?

Delle Alli
 
Timu za majeshi zifutwe VPL..mechi ijayo mnacheza na Azam FC
 
Mnajisifu kuifunga Ruvu Shooting ambayo haikuwa na wachezaji 7 wa kikosi cha kwanza?

Delle Alli
Timu inasajili zaidi ya wachezaji 20.
Simba nayo ilikosa huduma ya Mavugo, Bocco,Mkude,Tshabalala,Mnyate,Kazimoto na wengineo.


The Great Gatsby
 
Hongereni ila ligi ndo kwanza inaanza

Sent from my TV
 
Doh! ama kweli simba ni balaa, mwaka huu wameamua kuanza mapema!!!! Kwa kawaida mechi na magoli ya kununua huwa yanapatikana mwsho mwisho wa ligi, lakini wenyewe wameamua kuanza asubuhi!!!
 
Back
Top Bottom