Leo sio tu siku ya Uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA. Leo ni siku ya kuamua mustakabali wa miaka 100 ijayo ya Tanzania

Mmekosa kabisa akili kwa kuendekeza matumbo yenu.
 
Muhuni aliyemuonya ndugai kuacha ufedhuli na ndugai hakuacha yakamkuta?

Muhuni aliyemuonya Magufuli kuacha ufedhuli na hakusikiliza yakamkuta?
 
Je Lisu akishindwa kihalali atakataa matokeo?
 
Correct
 
Hahahahaha . kwamba lissu akichaguliwa atakaa Miaka 100?? Kuishinda CCM inaitaji mkono wa Mungu na si mkono wa Mtu huo ndo ukweli mchungu!!
 
Hahahahaha . kwamba lissu akichaguliwa atakaa Miaka 100?? Kuishinda CCM inaitaji mkono wa Mungu na si mkono wa Mtu huo ndo ukweli mchungu!!
Una uelewa mdogo sana wa Mambo. Weww ni kielelezo cha vilaza mliojaa CCM.
 
Una uelewa mdogo sana wa Mambo. Weww ni kielelezo cha vilaza mliojaa CCM.
hahaha aa.kilaza ni wewe ambaye hujui kuwa kila uatawala unatoka kwa MUNGU.Bila Mungu kuingilia kati katu CCM haiwezi kutoka madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…