.....IGWEEEEEEEEEE HUKU NDO KUJIAMINI KWA MEN SASA.... mm nakodo kodoa sasaMimi ni kidume cha mbegu ninayejiamini,
Sasa nasemaje Kama kuna demu yoyote humu ambae anajiamini kwamba anaweza kuikwepa mishale ya voko zangu
basi ajitokeze tu.
Alafu wengine pigeni kimya kama kafa shoga
Hayo hayo ndio mnayakubali!Tumekupandisha na kukushusha na sana sana tumekunyali, hakuna neno jipya yote ndo yale yale tumlishayasikia, nikajua labda unatongoza kivingine kumbee ......[emoji19] kule kule kupotezeana muda
Nimeanza kuona anatuaibisha wanaume. Siku hizi Maneno soft kama haya mdada anabaki anacheka tu hii Zama imebadilika mitongozo hiyo ya USHINDI Lakini siiwezBro, ujue umebeba bendera ya wanaume wa JF
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Acha amlaisishie Kazi Ndugu Yetu
Yaan upo ka mimi mwananguSiku hiz sitongoz nauliza tu "Can we Be Lovers"? Bint ndo atajua cha kujibu
Huna lolote walishaomba 2 uwatongoze mbona hujafanya hivyo au hawatoshi?mpaka sasa wanawake wote wamekimbia wanaogopa... Sasa naomba nighairishe zoezi
Maswali yako yanafanya niendelee kuamini Siku hizi wanawake wameishiwa maswaliaaaah mndali mi sio wale wa kujibu kunya...nakukataa ki soft soft...mana sio ugomvi haha
Nilidhani Maneno atakayotoa ni ya Leo maana Heading Yake iliashiria kitu kipya Tatizo wanaume hamjui wanawake wanataka nini nyie mnadhani kuongea saana ndio kutongoza [emoji79]Ulitegemea maneno kama yapi
chilax just watch me...Maswali yako yanafanya niendelee kuamini Siku hizi wanawake wameishiwa maswali
Hii ya standard six tena wale wa mkiani mitihaniNimeanza kuona anatuaibisha wanaume. Siku hizi Maneno soft kama haya mdada anabaki anacheka tu hii Zama imebadilika mitongozo hiyo ya USHINDI Lakini siiwez
Wifi yangu kaenda Dimani kuhesabu kura akirudi utajua tu maana lazima amsambaratishe StunterEbu mchungulie wifi yako huko mnakoita pm ulete mrejesho kama yupo....
[emoji106] [emoji106]chilax just watch me...
Wifi yangu kaenda Dimani kuhesabu kura akirudi utajua tu maana lazima amsambaratishe StunterEbu mchungulie wifi yako huko mnakoita pm ulete mrejesho kama yupo....
Sawa basi sema huwa mnataka niniNilidhani Maneno atakayotoa ni ya Leo maana Heading Yake iliashiria kitu kipya Tatizo wanaume hamjui wanawake wanataka nini nyie mnadhani kuongea saana ndio kutongoza [emoji79]
Teh...kaiba kadakwa kanyan'ganywa alichoiba na kipigo anakila..ndicho kitakachomkuta brother hahahaWifi yangu kaenda Dimani kuhesabu kura akirudi utajua tu maana lazima amsambaratishe Stunter
Kuna MTU mmoja aliambiwa aandike Essay akaandika Page 3 na bado Mawazo tele kichwani yalimjaa akitamani kuendelea kuandika tu, sasa ukafika muda akaambiwa aya Present essay yako kwa hadhira, mtu yule alishikwa na kigugumiz ambacho hakikutarajia na mate yakamkauka na jicho likamtoka.....IGWEEEEEEEEEE HUO NDO HUKU NDO KUJIAMINI KWA MEN SASA.... mm nakodo kodoa sasa
mrembo Upendo ni kama mmea, daima hauwez kukua kwammh ina mana bila mimi hutahema tena??
(nikiwa nimekunja mikono tumboni) me sikuchum..we kama unataka kunambia hicho kitu nambie tu...
Bado hajajitokeza au?