Leo STUNTER Ninatongoza LIVE mkishuhudia

Leo STUNTER Ninatongoza LIVE mkishuhudia

Mimi ni kidume cha mbegu ninayejiamini,
Sasa nasemaje Kama kuna demu yoyote humu ambae anajiamini kwamba anaweza kuikwepa mishale ya voko zangu
basi ajitokeze tu.
Alafu wengine pigeni kimya kama kafa shoga
.....IGWEEEEEEEEEE HUKU NDO KUJIAMINI KWA MEN SASA.... mm nakodo kodoa sasa
 
Tumekupandisha na kukushusha na sana sana tumekunyali, hakuna neno jipya yote ndo yale yale tumlishayasikia, nikajua labda unatongoza kivingine kumbee ......[emoji19] kule kule kupotezeana muda
Hayo hayo ndio mnayakubali!
 
Bro, ujue umebeba bendera ya wanaume wa JF
Nimeanza kuona anatuaibisha wanaume. Siku hizi Maneno soft kama haya mdada anabaki anacheka tu hii Zama imebadilika mitongozo hiyo ya USHINDI Lakini siiwez
 
Ulitegemea maneno kama yapi
Nilidhani Maneno atakayotoa ni ya Leo maana Heading Yake iliashiria kitu kipya Tatizo wanaume hamjui wanawake wanataka nini nyie mnadhani kuongea saana ndio kutongoza [emoji79]
 
Nimeanza kuona anatuaibisha wanaume. Siku hizi Maneno soft kama haya mdada anabaki anacheka tu hii Zama imebadilika mitongozo hiyo ya USHINDI Lakini siiwez
Hii ya standard six tena wale wa mkiani mitihani
 
Ebu mchungulie wifi yako huko mnakoita pm ulete mrejesho kama yupo....
Wifi yangu kaenda Dimani kuhesabu kura akirudi utajua tu maana lazima amsambaratishe Stunter
 
Ebu mchungulie wifi yako huko mnakoita pm ulete mrejesho kama yupo....
Wifi yangu kaenda Dimani kuhesabu kura akirudi utajua tu maana lazima amsambaratishe Stunter
 
Tatizo LA mtoa Maada hajui kama Kwa Sasa asilimia tisini na nne ya watu wamevurugwa Sana na maisha kias kwamba sound zake haziendani na KASI ya Sasa ya hapa kazi. Wewe Jiulize mpaka wadada wa naipenda track ya hainaga ushemeji tunakulaga basi ujue hata wenyewe hawazingatii aina ya mitongozo Sana Sana utajichora tu jinsi Ulivyo weak kwenye mapenzi. Mapenzi sio kama ya zamani. Mapenzi ya Sasa hayastahili kupewa mitongozo ya style yako . Kupitia mitongozano ndio Dame anatakiwa AJUE misimamo yako kimaisha kama vipi unamchana kila kitu wazi akujue we ni WA vipi.
 
Nilidhani Maneno atakayotoa ni ya Leo maana Heading Yake iliashiria kitu kipya Tatizo wanaume hamjui wanawake wanataka nini nyie mnadhani kuongea saana ndio kutongoza [emoji79]
Sawa basi sema huwa mnataka nini
 
Wifi yangu kaenda Dimani kuhesabu kura akirudi utajua tu maana lazima amsambaratishe Stunter
Teh...kaiba kadakwa kanyan'ganywa alichoiba na kipigo anakila..ndicho kitakachomkuta brother hahaha
 
.....IGWEEEEEEEEEE HUO NDO HUKU NDO KUJIAMINI KWA MEN SASA.... mm nakodo kodoa sasa
Kuna MTU mmoja aliambiwa aandike Essay akaandika Page 3 na bado Mawazo tele kichwani yalimjaa akitamani kuendelea kuandika tu, sasa ukafika muda akaambiwa aya Present essay yako kwa hadhira, mtu yule alishikwa na kigugumiz ambacho hakikutarajia na mate yakamkauka na jicho likamtoka
N.B watanzania wengi ni wazuri wa kuandika kuliko kuongea
(Zilongwa mbali, zitendwa mbali)
 
mmh ina mana bila mimi hutahema tena??

(nikiwa nimekunja mikono tumboni) me sikuchum..we kama unataka kunambia hicho kitu nambie tu...
mrembo Upendo ni kama mmea, daima hauwez kukua kwa
siku moja na labda nikwambie kitu, kwakuwa
nakupenda katu sitokufa moyo wala kukata tamaa
juu yako, kwasababu wewe ndiwe lengo langu basi sioni hasara kupoteza kila kitu ilimradi niwe nawe,
hata ungekuwa umbali wa Maili elfu moja, mimi ningeomba upige hatua moja tu, alafu umbali uliobaki ningetembea mimi kukufuata... i mean it baby
 
Back
Top Bottom