Leo STUNTER Ninatongoza LIVE mkishuhudia

Mkuu ngoja nichukue mistari .nikawaonee wanyonge wangu kwenye badoo .
 
"huoni hasara kupoteza kitu"....em send me some cash kune m-pesa yangu.
 
Sasa hivi unajionyesha tu status yako ya maisha unamtamanisha maisha mazuri basi habari kwisha maneno maneno mengi ya nini.
 
...binti najua umenilenga mm ...ila mm huwa sitongozi kwa mineno mingi lakini ki-short form huwa nasema "* HEY KABINTI MAY YOU BE MY GIRL..* so nijibu sasa afu mengn yatafuata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti tupige kimya kama kafa shoga
mm mwenyewe nimechekaaaaaa sanaa apooooo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji2]
 
"huoni hasara kupoteza kitu"....em send me some cash kune m-pesa yangu.
Unazungumzia M Pesa?,
mimi nitakupa kadi yangu ya Bank, muda wowote ukihitaji,
unajua sioni kitu gani nitakupa ambacho kitafikia thamani yako, hata nikikurithisha mali zangu zote, bado haziwezi kulingana na thamani yako, Nimeamua kujitoa mazima kwako, na ndio hivi nadondoka na naomba uniokote ili nisiangamie mama... Nakupenda Scorpio, Nakupendaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…