mkuu Amekubali huyoMungu amenipa mikono miwili, miguu miwili, macho mawili na hata masikio mawili, lakini Sishangai kwanini amenipa moyo mmoja,
ofcoz Amenipa moyo mmoja pamoja na nguvu za kuutafuta moyo mwingine,
Darleen safari yangu imegotea kwako, You are my soul mate, nikikutazama nakuona umebeba pendo lililondani ya moyo wa dhahabu ambao Mungu amenipa kazi ya kuulinda usivunjike,
Dear Scorpio, naomba nafasi ya kuulinda, kuutibia, kuutunza, na kuuhudumia,
nina uhakika kwapamoja tutakuwa wakamilifu
Ever
Hahahah.... Basi ngoja nianze process za kumuinvite magetoni scorpio memkuu Amekubali huyo
Omba papuchi tu
STUNTER kutongoza sio maneno!Mimi ni kidume cha mbegu ninayejiamini,
Sasa nasemaje Kama kuna demu yoyote humu ambae anajiamini kwamba anaweza kuikwepa mishale ya voko zangu
basi ajitokeze tu.
Alafu wengine pigeni kimya kama kafa shoga
Mi mpaka umpige sound rayyoung na aingie line ndio ntaamini wewe kidume
Funguo anazo ngosha wangu[emoji108]Usiwe na wasiwasi, we ukishafunga usiwaze maana funguo ninazo mimi.
We utakua mchele mchele tu.Mimi ni kidume cha mbegu ninayejiamini,
Sasa nasemaje Kama kuna demu yoyote humu ambae anajiamini kwamba anaweza kuikwepa mishale ya voko zangu
basi ajitokeze tu.
Alafu wengine pigeni kimya kama kafa shoga
Fact na hapo ndo utateka moyo wa bintiSTUNTER kutongoza sio maneno!
Ni combination ya maneno, matendo na hasa jinsi unavyoonekana kujali, kujiamini na kuonesha kuwa wewe ni mwanaume unayejithamini na kumthamini mwenza.
Wengi wanao-win wanawake ni kwa matendo yao Zaidi kuliko maneno yao!
mtongozo wa kwanza ni just to let girls/women kuwa alert kuwa look nipo interested nitazame kama nafaa! wengi wanafikiri wanawake wakitongozwa then wanaendelea kuwa perceive wakisubiri maneno tu, la hasha from mtongozo wa kwanza mwanamke anaanza kuwa mindful kuhusu huyo mtu aliyemu-approach, awe interested asiwe interested from there ukiwepo au akikuona sehemu atakuwa ana-notice vingi kuhusu wewe, now sio maneno tena bali combinations ya tabia, kauli na matendo yako ndio yatamleta kwako!
sisi wa umri wa kati wengi tulioona filamu ya Coming to America, tutakuelezea ni jinsi gani Prince Hakeem alivyoweza kumteka Lissa. kwa mwanaume wa kweli kule ndio kutongoza na sio kutoa cash, wala kupanga mistari- most girls/women hawako interested!
I bet, kwa maneno yote uliyosema hamna hata mmoja aliyevutwa hisia nawe, wanasoma kama lyrics tu za bongoflava!
so, kwa wale madomo zege wenzangu, you don't have to struggle na kukariri mistari, just show interest na "tenda mtongozo" girls will admire you! watakuforce useme - I love you! utalazimishwa useme, sio kama ndugu yetu stunter anajilazimisha kusema.
cc: scorpio me miss 110 miss chagga Valentina emmyta
Ur a gentleman [emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera, few of men ambao wana akili kama zako, maneno ukiongea meengi mwishowe huwa uongo...binti najua umenilenga mm ...ila mm huwa sitongozi kwa mineno mingi lakini ki-short form huwa nasema "* HEY KABINTI MAY YOU BE MY GIRL..* so nijibu sasa afu mengn yatafuata
nime-note your first post!Fact na hapo ndo utateka moyo wa binti
[emoji53]Hadi wewe umekuja kutongozwa? Kwani wewe na Kiranga mshasaini petition ya kuvunja ndoa?
hahaha ah wapi...naona m pesa haijasoma bado...Hahahah.... Basi ngoja nianze process za kumuinvite magetoni scorpio me
[emoji15]Kuna kitu ambacho hujakitaja bado, nasubiri nikikiona tu mi umenipata.