STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
- Thread starter
- #141
Mungu amenipa mikono miwili, miguu miwili, macho mawili na hata masikio mawili, lakini Sishangai kwanini amenipa moyo mmoja,
ofcoz Amenipa moyo mmoja pamoja na nguvu za kuutafuta moyo mwingine,
Darleen safari yangu imegotea kwako, You are my soul mate, nikikutazama nakuona umebeba pendo lililondani ya moyo wa dhahabu ambao Mungu amenipa kazi ya kuulinda usivunjike,
Dear Scorpio, naomba nafasi ya kuulinda, kuutibia, kuutunza, na kuuhudumia,
nina uhakika kwapamoja tutakuwa wakamilifu
Ever