Leo taifa linaenda kupata aibu

JF imevamiwa na kizazi kilichokosa hata mabaki ya elimu.

Pole sana mleta mada, aibu naona unayo wewe kwa kuandika ujinga.

Shabiki wa kweli wa Yanga au Simba ni mpenda michezo na ni mzalendo.

Yanga au Simba zinapocheza na team za nje ya Tanzania inatakiwa tuwe wazalendo kwanza, wanaiwakilisha Tanzania na si club zao tu.
 
Lunyasi kolo vipi matokeo ya Wananchi huko
 
Matokeo yako vipi huko?

Bado kuna aibu yoyote?
 
Hizi aibu na fedheha za rejareja na jumla mnajitafutiaga wenyewe tu.
 
Ndio tena AIBU KUBWA NI YA WEWE KULETWA DUNIANI NA MAMA YAKO
 
haya hebu jitokeze hadharani useme tena
 
Mleta mada,nakuona hapo ulipo unajinyea kila mda,hivi nani aliyekuambia yanga hawafuzu??Acha makasiriko ya kijinga,mpira unachezwa uwanjani,sio kwenye mdomo wako huo uliyezoea kunyonya muhogo.
Yanga wanaleta kombe hapa Tanzania,kama utaki utataka tu,pumbavuuuh zako
 
Ikawaje sasa muzeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…