Leo Taifa Stars anafungwa 1-0 na Lesotho

Pumbavu zao, wanacheza hovyo kama wana mabusha
 
Basi hamna namna tena. Tukubali tu kunyolewa na kila kinyozi... hata kama ni mwendawazimu.
Kwasasa itabidi tufikekwenye kuchunwa ngozi ya kichwa, maana mtu hawezi kuwa ananyolewa kla siku tu, lazima kuna siku nywele zilivoisha atachunwa ngozi tu.
 
Hii team ni moja ya sababu ya kwanini life expectancy ya watanzania IPO chini ..
 
Pumbavu kabisa
 
Wachezaji wa Tanzania hawana vipaji... Hata hizi timu za ligi kuu hakuna kitu kabisa.... Ni kupoteza muda tu
 
Mleta uzi unahitajika kuripoti central kesho asubuhi
 
Ndala mentality ni janga kwa taifa hili.
 
Dah! Stars wanachoka mapema, halafu pass wazopiga hazina afya zinaporwa kirahisi.
Mbio pia ni shida.

Huyu kipa yuko vizuri kwenye penati ndio kaiokoa stars.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…