28/03/2015
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 366
- 335
Kipindi cha kwanza kimekwisha Tz 0- 0 L
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samaki mmoja akioza??... ndo hivyo tena, kama vipi hebu kajitoe kimasomaso tusifungwe...Nimekubali. Mimi namimbona Mtanzania lakini hayo mambo siamini?
Nikijitoa kimasomaso mimi nachelea itakuwa uhaini mkubwa sana.Samaki mmoja akioza??... ndo hivyo tena, kama vipi hebu kajitoe kimasomaso tusifungwe...
Basi hamna namna tena. Tukubali tu kunyolewa na kila kinyozi... hata kama ni mwendawazimu.Nikijitoa kimasomaso mimi nachelea itakuwa uhaini mkubwa sana.
Kwasasa itabidi tufikekwenye kuchunwa ngozi ya kichwa, maana mtu hawezi kuwa ananyolewa kla siku tu, lazima kuna siku nywele zilivoisha atachunwa ngozi tu.Basi hamna namna tena. Tukubali tu kunyolewa na kila kinyozi... hata kama ni mwendawazimu.
Pumbavu kabisaHabari zenu wanajamvi.
Leo ninapenda kuchukua nafasi kuwashukuru nyote kwa kuwa na imani na Timu ya Tanzania ya mpira wa miguu tangu hapo awali mpaka tamati yake hii Leo.
Licha ya kutambua wazi kuwa hatutafika popote kwenye michuano hii, bado mkaendelea kuamini kuwa "Kuku atameza Papai".
Leo ndio tunaenda kufunga pazia la michuano hii kwa upande wa timu yetu kwa kichapo cha "bao moja kwa nunge".
Naomba tuendelee kuwa pamoja na timu yetu hata kama tu najua kabisa kuwa tunaenda kufungwa. Maana hakuna namna pekee ya kuonyesha uzalendo zaidi ya kukubali hali halisi.
Iandaeni mioyo yenu maana Imeandikwa. "Mwana wa Adamu atashinda mechi chache za kwanza, siku ya pili atakula kichapo na siku ya tatu atapaishwa na Lesotho" Taifa 4:2-0.
![]()
Milango auTumefungaaaaa
Ndala mentality ni janga kwa taifa hili.Habari zenu wanajamvi.
Leo ninapenda kuchukua nafasi kuwashukuru nyote kwa kuwa na imani na Timu ya Tanzania ya mpira wa miguu tangu hapo awali mpaka tamati yake hii Leo.
Licha ya kutambua wazi kuwa hatutafika popote kwenye michuano hii, bado mkaendelea kuamini kuwa "Kuku atameza Papai".
Leo ndio tunaenda kufunga pazia la michuano hii kwa upande wa timu yetu kwa kichapo cha "bao moja kwa nunge".
Naomba tuendelee kuwa pamoja na timu yetu hata kama tu najua kabisa kuwa tunaenda kufungwa. Maana hakuna namna pekee ya kuonyesha uzalendo zaidi ya kukubali hali halisi.
Iandaeni mioyo yenu maana Imeandikwa. "Mwana wa Adamu atashinda mechi chache za kwanza, siku ya pili atakula kichapo na siku ya tatu atapaishwa na Lesotho" Taifa 4:2-0.
![]()
Lete matokeo basi mkuuAibu yako