Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simple....wanafuata misingi yote inayohitajika katika Mpira....no politics....Bado hujasemezana nami kwenye suala la msingi nililoliulizia.
Inakuwaje ki nchi kidogo hicho, chenye eneo kama la mkoa wa Mara tu, mkoa wa 17 kwa ukubwa Tanzania, na chenye watu kama wilaya ya Kinondoni tu, kiwe na wachezaji wengi sana wanaocheza soka la kulipwa nje kutuzidi Tanzania?
Lesotho kwa idadi ya watu tumewazidi karibu mara 30.
Duh.. hii hoja yako imekaa kijografia zaidi kuliko kisoka...Lesotho kieneo nikama mkoa wa Mara. Ni kamamkoa wa 17 kwa ukubwa Tanzania.
List of Tanzanian regions by area - Wikipedia
Geography of Lesotho - Wikipedia
Kwa wingi wa watu nchi nzima haifikii hata nusu ya watu wa Daresalaam. Ni kama idadiya watu wa wilaya ya Kinondoni tu.
Kufungwa na ki nchi hiki ni aibu.
Wao wanawezaje na sisi tunashindwaje?Simple....wanafuata misingi yote inayohitajika katika Mpira....no politics....
Jiografia ina affect soka, ndiyo maana hujasikia nchi za visiwa vya Micronesia ikishinda kombe la dunia. Hawa mara nyingine hufungwa hata magoli 30.Duh.. hii hoja yako imekaa kijografia zaidi kuliko kisoka...
Kama ni hivi... Timu nyingi sana za Afrika zingeshatwaa World Cup.
Labda wenzetu hawana kichwa cha mwenda wazimu...Jiografia ina affect soka, ndiyo maana hujasikia nchi za visiwa vya Micronesia ikishinda kombe la dunia.
Nchi kubwa, zenye eneo kubwa na watu wengi, zina nafasi kubwa ya kuwa na chumi kubwa zinazoruhusu kufadhili soka.
Siyo ajali kwamba soka ya sasa imeanzia Uingereza, nchi iliyokuwa na Ufalme uliotawala dunia.
Soka inakua kwa uchumi mzuri na uongozi mzuri, sehemu nyingine ni utamaduni/ historia.
Sasa sisi na Lesotho hatutofautiani sana kiutamaduni, kiuchumi wala kiuongozi.
Ndiyo maana nauliza.
Imekuwaje Wasotho watupite kwenye mpira? Nimeambiwa wana wachezaji wengi nje, walichoweza waokufanya kuwa na wachezaji wengi nje ambachosisi hatujaweza ni kipi?
Tatizo tunaamini wachawi sana (joking)Labda wenzetu hawana kichwa cha mwenda wazimu...
Na hili si kwa soka tu...
Tunachemka kila sekta ya kimichezo... si Riadha, ndondi, mipira ya kikapu, wavu, pete na tenisi.
Tumepakana na Kenya tu hapo... mpaka umewatenganisha wamasai wa Kenya na Tanzania... Lakini utashangaa Kenya ikijitutumua kwenye Riadha lakini sisi tumechemka.
Tumeachwa nyuma kwa vingi sana.
Nadhani aliyetuloga ameshakufa
hapo kwenye red ndo ulipokosea. Hapo ungeandika (confirmed)Tatizo tunaamini wachawi sana (joking)
Hata wewe umo, si unaona ulivyomalizia na habari za aliyetuloga, unatafuta mchawi wakati mchezo hauna mchawi.hapo kwenye red ndo ulipokosea. Hapo ungeandika (confirmed)
Yeah mi ni mtanzania. LOLHata wewe umo, si unaona ulivyomalizia na habari za aliyetuloga, unatafuta mchawi wakati mchezo hauna mchawi.
Nimekubali. Mimi namimbona Mtanzania lakini hayo mambo siamini?Yeah mi ni mtanzania. LOL
uwe unataja na channel itakayo rusha kupitia app yakoSASA Channel ya Online Tv entertainment ipo live kukuletea kila kinachojiri kwenye mechi ya Tanzania na Lesotho, kutazama live Download app ya Online TV kwenye link hii https://bit.ly/2n5MhHo
Channel ya Online Tv Entertainment ipo kwenye category ya East Africauwe unataja na channel itakayo rusha kupitia app yako
now nipo mubashara kabisa thenksChannel ya Online Tv Entertainment ipo kwenye category ya East Africa