Leo Taifa Stars anafungwa 1-0 na Lesotho

Leo Taifa Stars anafungwa 1-0 na Lesotho

Ni bora niangalie Tom and Jerry kuliko kuangalia mechi ya Stars
 
Bado hujasemezana nami kwenye suala la msingi nililoliulizia.

Inakuwaje ki nchi kidogo hicho, chenye eneo kama la mkoa wa Mara tu, mkoa wa 17 kwa ukubwa Tanzania, na chenye watu kama wilaya ya Kinondoni tu, kiwe na wachezaji wengi sana wanaocheza soka la kulipwa nje kutuzidi Tanzania?

Lesotho kwa idadi ya watu tumewazidi karibu mara 30.
Simple....wanafuata misingi yote inayohitajika katika Mpira....no politics....
 
SASA Channel ya Online Tv entertainment ipo live kukuletea kila kinachojiri kwenye mechi ya Tanzania na Lesotho, kutazama live Download app ya Online TV kwenye link hii https://bit.ly/2n5MhHo
 
Duh.. hii hoja yako imekaa kijografia zaidi kuliko kisoka...

Kama ni hivi... Timu nyingi sana za Afrika zingeshatwaa World Cup.
Jiografia ina affect soka, ndiyo maana hujasikia nchi za visiwa vya Micronesia ikishinda kombe la dunia. Hawa mara nyingine hufungwa hata magoli 30.

Nchi kubwa, zenye eneo kubwa na watu wengi, zina nafasi kubwa ya kuwa na chumi kubwa zinazoruhusu kufadhili soka.

Siyo ajali kwamba soka ya sasa imeanzia Uingereza, nchi iliyokuwa na Ufalme uliotawala dunia.

Soka inakua kwa uchumi mzuri na uongozi mzuri, sehemu nyingine ni utamaduni/ historia.

Sasa sisi na Lesotho hatutofautiani sana kiutamaduni, kiuchumi wala kiuongozi.

Ndiyo maana nauliza.

Imekuwaje Wasotho watupite kwenye mpira? Nimeambiwa wana wachezaji wengi nje, walichoweza waokufanya kuwa na wachezaji wengi nje ambachosisi hatujaweza ni kipi?
 
Jiografia ina affect soka, ndiyo maana hujasikia nchi za visiwa vya Micronesia ikishinda kombe la dunia.

Nchi kubwa, zenye eneo kubwa na watu wengi, zina nafasi kubwa ya kuwa na chumi kubwa zinazoruhusu kufadhili soka.

Siyo ajali kwamba soka ya sasa imeanzia Uingereza, nchi iliyokuwa na Ufalme uliotawala dunia.

Soka inakua kwa uchumi mzuri na uongozi mzuri, sehemu nyingine ni utamaduni/ historia.

Sasa sisi na Lesotho hatutofautiani sana kiutamaduni, kiuchumi wala kiuongozi.

Ndiyo maana nauliza.

Imekuwaje Wasotho watupite kwenye mpira? Nimeambiwa wana wachezaji wengi nje, walichoweza waokufanya kuwa na wachezaji wengi nje ambachosisi hatujaweza ni kipi?
Labda wenzetu hawana kichwa cha mwenda wazimu...

Na hili si kwa soka tu...

Tunachemka kila sekta ya kimichezo... si Riadha, ndondi, mipira ya kikapu, wavu, pete na tenisi.

Tumepakana na Kenya tu hapo... mpaka umewatenganisha wamasai wa Kenya na Tanzania... Lakini utashangaa Kenya ikijitutumua kwenye Riadha lakini sisi tumechemka.

Tumeachwa nyuma kwa vingi sana.

Nadhani aliyetuloga ameshakufa
 
Tatizo tunaamini wachawi sana (joking)
 
hapo kwenye red ndo ulipokosea. Hapo ungeandika (confirmed)
Hata wewe umo, si unaona ulivyomalizia na habari za aliyetuloga, unatafuta mchawi wakati mchezo hauna mchawi.
 
Back
Top Bottom