Leo Taifa Stars anafungwa 2-0 na Zambia.

Mleta uzi unaonekana siyo Mtanzania kwa na watu unaoishi nao watakuwa wameshakuchoka wanakuombea ufe haraka uondoke na laana zako hapa duniani ; maana unaonekana ni mtu uliyezoea sana kushindwa na hivyo unaitakia timu yetu ya Taifa ishindwe.

Pole sana Mzee najua watanzania hatupendi kuambiwa ukweli.

Tunataka Mara zote tudanyanywe, ndio maana Makinikia yanavuka BODA kirahisi sana.
 
Sasa nataka nikuhakikishie kuwa timu yetu ishinde au ishindwe mimi nabaki kuwa Mtanzania na shabiki wa timu yangu ya Tanzania.

Mkuu soma tena Uzi hapo juu.....

Mimi sio Afisa uhamiaji nikuvue uraia wako.
 
; umeshindwa kujua hata timu inashiriki masbindano gani ndo maana ukaandika " CECAFA badala ya COSAFA . " [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sio "masbindano" bali ni "mashindano"......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji121]
 
4-1 [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…