Leo Taikon yupo kwenye sherehe za makambi, Mtaa wa Manzese, Karibuni.

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Sabato Njema!

Leo ninayofuraha kubwa kusherehekea Sikukuu za Makambi Kwa mwaka huu 2022 katika mtaa wa Manzese.
Maandalizi yaliyofanyika ni makubwa Mno.
Mwitikio wa watu hi mkubwa Sana, Nina wasiwasi eneo linaweza kuwa dogo Kama ongezeko la watu litaendelea hivi!

Kwaya kubwa zinazoimba vizuri katika nchi hii zipo hapa kutoa injili Kwa njia ya nyimbo na kuburudisha,
1. Mbiu SDA Kwaya.
2. Nyarugusu AY SDA kwaya ya Geita.
3. Angaza SDA Kwaya
4. Sauti ya Nyikani Kwaya.
Na kwaya zingine.

Mambo ambayo ninauhakika yangekupendeza katika sherehe hizi ni Kama ungekuwepo ni pamoja na;
1. Nyimbo tamu zilizoimbwa Kwa ufundi na wajuvi na watunzi mahiri.
2. Mitindo ya nywele waliosuka Wanawake yenye kuvutia Kwa namna ya utukufu wa Mungu.
3. Masomo ya Biblia na mafundisho ya Mungu yatakayoufanya roho yako kuwa na Amani.

Karibuni Sana mliokaribu na eneo hili, Sinza, Tandale, Manzese, Ubungo, Makumbusho, KIJITONYAMA n.k.

Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Kwenye Makambi, Kanisa la Manzese, Dar es salaam
 
Sawa Taikoon, Sabato njema!!
 
Amen!!Amen!!Roho mtakatifu atawale kwenye hiyo sikukuu ya vibanda ya bwana.
 
Mkuu kuna totoz za kisabato nitimbe hapa mida flani hivi.
 
Sabato njema taicoon, mm nipo golini nakaba mpk penalty, naomba Mungu anivuvie niwe naanza kwenda kanisani, pamoja sana msabato mwenzangu.
 
Back
Top Bottom