Leo Taikon yupo kwenye sherehe za makambi, Mtaa wa Manzese, Karibuni.

Ukimaliza Manzese njoo Mtaa wa Kwembe tupate neno la makambi hapa. Its been a while asee.
 
Sabato Njema!

Leo ninayofuraha kubwa kusherehekea Sikukuu za Makambi Kwa mwaka huu 2022 katika mtaa wa Manzese.
Maandalizi yaliyofanyika ni makubwa Mno.
Mwitikio wa watu hi mkubwa Sana, Nina wasiwasi eneo linaweza kuwa dogo Kama ongezeko la watu litaendelea hivi!

Kwaya kubwa zinazoimba vizuri katika nchi hii zipo hapa kutoa injili Kwa njia ya nyimbo na kuburudisha,
1. Mbiu SDA Kwaya.
2. Nyarugusu AY SDA kwaya ya Geita.
3. Angaza SDA Kwaya
4. Sauti ya Nyikani Kwaya.
Na kwaya zingine.

Mambo ambayo ninauhakika yangekupendeza katika sherehe hizi ni Kama ungekuwepo ni pamoja na;
1. Nyimbo tamu zilizoimbwa Kwa ufundi na wajuvi na watunzi mahiri.
2. Mitindo ya nywele waliosuka Wanawake yenye kuvutia Kwa namna ya utukufu wa Mungu.
3. Masomo ya Biblia na mafundisho ya Mungu yatakayoufanya roho yako kuwa na Amani.

Karibuni Sana mliokaribu na eneo hili, Sinza, Tandale, Manzese, Ubungo, Makumbusho, KIJITONYAMA n.k.

Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Kwenye Makambi, Kanisa la Manzese, Dar es salaam
Amina mtumishi,Mimi Leo nahitimisha makambi hapa Tabora,mtaa wa Bachu,Kwaya kuu ni Sikonge SDA. Ila hujatenda kuto itaja Kurasini SDA choir. Ni moja ya Kwaya nzuri sana.
 
Kurasini hayupo nao Mkuu ndio maana sijawataja
 
Leo ninayofuraha kubwa kusherehekea Sikukuu za Makambi

Mitindo ya nywele waliosuka Wanawake yenye kuvutia
Uki connect dots utajua ukweli wa huyu ndugu Bujibuji Simba Nyamaume na uzi wake 👇

Sabato Njema!

Leo ninayofuraha kubwa kusherehekea Sikukuu za Makambi Kwa mwaka huu 2022 katika mtaa wa Manzese.
Maandalizi yaliyofanyika ni makubwa Mno.
Mwitikio wa watu hi mkubwa Sana, Nina wasiwasi eneo linaweza kuwa dogo Kama ongezeko la watu litaendelea hivi!

Kwaya kubwa zinazoimba vizuri katika nchi hii zipo hapa kutoa injili Kwa njia ya nyimbo na kuburudisha,
1. Mbiu SDA Kwaya.
2. Nyarugusu AY SDA kwaya ya Geita.
3. Angaza SDA Kwaya
4. Sauti ya Nyikani Kwaya.
Na kwaya zingine.

Mambo ambayo ninauhakika yangekupendeza katika sherehe hizi ni Kama ungekuwepo ni pamoja na;
1. Nyimbo tamu zilizoimbwa Kwa ufundi na wajuvi na watunzi mahiri.
2. Mitindo ya nywele waliosuka Wanawake yenye kuvutia Kwa namna ya utukufu wa Mungu.
3. Masomo ya Biblia na mafundisho ya Mungu yatakayoufanya roho yako kuwa na Amani.

Karibuni Sana mliokaribu na eneo hili, Sinza, Tandale, Manzese, Ubungo, Makumbusho, KIJITONYAMA n.k.

Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Kwenye Makambi, Kanisa la Manzese, Dar es salaam
Sabato njema mtumishi, usirudie kuhamasisha uzinzi.
 
Back
Top Bottom