Leo Taikon yupo kwenye sherehe za makambi, Mtaa wa Manzese, Karibuni.

Ukimaliza Manzese njoo Mtaa wa Kwembe tupate neno la makambi hapa. Its been a while asee.
 
Amina mtumishi,Mimi Leo nahitimisha makambi hapa Tabora,mtaa wa Bachu,Kwaya kuu ni Sikonge SDA. Ila hujatenda kuto itaja Kurasini SDA choir. Ni moja ya Kwaya nzuri sana.
 
Amina mtumishi,Mimi Leo nahitimisha makambi hapa Tabora,mtaa wa Bachu,Kwaya kuu ni Sikonge SDA. Ila hujatenda kuto itaja Kurasini SDA choir. Ni moja ya Kwaya nzuri sana.

Kurasini hayupo nao Mkuu ndio maana sijawataja
 
Leo ninayofuraha kubwa kusherehekea Sikukuu za Makambi

Mitindo ya nywele waliosuka Wanawake yenye kuvutia
Uki connect dots utajua ukweli wa huyu ndugu Bujibuji Simba Nyamaume na uzi wake πŸ‘‡

Sabato njema mtumishi, usirudie kuhamasisha uzinzi.
 
Ukitoka hapo njoo na uzi wa sabato ya kweli ni jumamosi.....[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…