Leo tangu asubuhi sijaingiza hata mia katika harakati zangu

Leo tangu asubuhi sijaingiza hata mia katika harakati zangu

Nimepata kama elf 15 hiv nmekula kitimoto nusu apa nipo namalizia bia nikalale

Nilikua na akiba ndani 50k cash, wife anakuja na taarifa ya Gas imeisha ndo yupo kwenye harakati za kupika kinyonge nimeenda kununuaa nakuta gas now 50k inauzwa[emoji119][emoji119]. Hapa na 200 tu imebaki[emoji23][emoji23].
 
Bora wewe! kuna madalali huwa wanakaa wiki 6 bila kuingiza hata mia.
 
Mi mwenyewe leo nimetoka kasuku, naingia mkeka nakuta kuna wapuuzi hawajamaliza game so nilichofanya nime cash out, mkeka ulikuwa wa 120000, sikusubiri majonzi, nimetoa 17000, ndo kidoogo nimepata hata nguvu ya kurudi home, zaidi ya hapo leo ilikuwa nyau nyau
 
Na bado kuna LUKU , Tozo sijui takataka gani utajuta kuzaliwa Tanzania, omba Mungu sana uendelee kuona mafanikio ya Kijani kibichi aka mboga mboga huku ukisema siasa hazina maana
 
Mambo ya kutafuta bwana, leo ninetoka kapa katika harakati za kutafuta, kifupi sijaingiza hela yoyote leo.
Sentensi uliyoanza nayo Mambo ya kutafuta Bwana inafikirisha sana.
 
usikate tamaa jomba kesho nayo siku mbona ukipata pesa usemi leo nimepata??
 
Back
Top Bottom