Leo Tanzania Yaamriwa Kuifuta Adhabu ya Kifo kwa Kunyongwa Mpaka Kufa!. Ni Aibu Tanzania Mpaka Ilazimishwe!. Rais Samia, Futilia Mbali Unyama Huu!

At least there has been a silent moratorium for decades. No one has been executed in the recent past (Mwinyi - Hangaya)!
 
Upo sahihi,watu wanapigwa kitanzi kama kawaida huko...tena wengi tu, tena hata mnyongaji aendi kusimama court kwa muda kama utaratibu unavotaka baada ya kunyonga mhalifu kama zamani.
Wanasiasa Huwa wanawadanganya ati hawawezi kusaini kunyonga
Ila kiukweli watu wanaokula kitanzi kama kawaida
Yaani mtu amtume asiyejulikana ateke na kuuwa mpinzani anayepiga tu makelele, awe na hofu ya kunyonga mtu katili, gaidi au mhaini
 
Mbona hii habari sijaiona kwenye taarifa ya habari yoyote
Hatuna vyombo vya habari Tanzania zaidi ya TV, Radio na Magazeti.
Chombo cha habari lazima kiwe na wanahabari wabobevu wa sheria, dini, uchumi, sanaa, teknolojia na maendeleo, ili kuweza kuandika habari zilizo sawa na sahihi.
Wabobevu ambao ni wataalamu, yaani pros.
 
Na wanyongwe tu mpaka kufa sababu hakuna namna.
Huwezi kufanya mauwaji ya kikatili Kisha muuwaji aendelee kuvuta pumzi za bure na kula na kulala jela kwa gharama za mlipa Kodi.
Adhabu ya kifo ni kuzuia wengine wasithubutu kufanya makosa yenye kuchukua adhabu ya kifo.
Hizi taasisi za magharibi ndio zina toa fedha ku sponsor na kusapoti hizi fikra duni zisizo na maadili ya kibinaafamu.
 
Hivi huyu jamaa 👆 huwaga ana ubongo kichani kweli 🙄🙄🙄🙄 kufuta adhabu ya kifo ni kupoteza muda tu kwa tanzania bwana abdul akitaka kukuua anakuhua tu nje ya mfumo wa Mahakama
 
Kumbe Amerika hawajastaarabika?
Kama sisi ni sheria na hakuna alieuwawa sasa hiyo ni sheria?
Kuna nchi ukishikwa na Unga tu unanyong'wa itakuwa kuuwa
Kuna States ngapi US wanauwa?
Ustaarabu ni nini? Kuacha watu wauwe na wao wakila mvua kidogo na kuachiwa eti
Atakae muuwa ndugu yako ukamuona utamsalimia ? Na kumwambia nimekusamehe twende tukanywe chai eee
 
Judgement by the African Court on Human and Peoples Rights
Kwa nakala niliyoona mahali ni kuwa Tanzania, Malawi, Rwanda na Ghana nadhani zilipunguza nguvu mahaka hii kwa kukataa ratification ya vipengele Fulani kwenye convention ya mambo haya na ilikuwa 2020!!!
 
1. Sio kila aliye kwenye death row aliua. Uzoefu wa Marekani unaonesha kwamba wapo wengi walionyongwa, lakini baadaye ushahidi wa DNA ukathibitisha kwamba hawakuwa behind mauaji waliyotiwa nayo hatiani.
2. Studies mbalimbali nchini Marekani zimeonesha kwamba states zenye adhabu ya kifo zina homicide rates ambazo kimsingi hazitofautiani na za states ambazo hazina death penalty!
3. Why and how on earth would you justify a wrong with another wrong?
 
Thanks bro.
 
Kunyonga Hadi kufa ni unyama kwa mtu aliyeua? Mzee siku wakiua ndugu wa karibu kinyama ndo utajua hii adhabu ya kunyonga Hadi kufa Bado tunaihitaji Tanzania.
 
Komredi big chawa kwa mara ya kwanza nakuunga mkono na miguu, kuna watu wamefanya unyama zaidi ya unyama wenyewe wakakae jela tu wale ugali wa bure?

Kuna pia hawa wanaolawiti watoto hawa nao wahasiwe kwanza kisha wauawe kwa kupigwa nyundo za kichwa kunyongwa watakufa kistaarabu.
 
Binafsi nataka iendelee kuwepo tu na wanyongwe.

Watu waliona mbali maana hawa makatili wauwaji wa wenzao ni rahisi kuhimili adhabu za gerezani.
 
Tuifute baada ya Daudi Bashite aka Paul Christian Makonda kunyongwa
 
Na PF3 nayo iondolewe?

Kwa wale wasiojua hii ni Police Form 3 .
Form hii lazima ijazwe kabla hujapata huduma hospitalini hususani ukiwa na majeraha makubwa kubwa hv.
 
Shetani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…