Leo tar 12 April 2022, Serikali yatangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi. Zaidi ya billion 40 kutumika

Leo tar 12 April 2022, Serikali yatangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi. Zaidi ya billion 40 kutumika

Baada ya miaka 7 hatimae vijana waliohitimu wachangamkie fursa. Kila heri kwao.

Pongezi pia kwa serikali ya Awamu ya sita kwa kuona uhitaji wa kuziba nafasi ziliachwa wazi kwa wastaafu,waliotumbuliwa na ongezeko la uhitaji.
 
Mkuu kama Mtandao wako uko vizuri naomba uingie www.utumishi.go.tz upakuwe tangazo(ni pdf) alafu uliweke hap vijna walione🙏🙏🙏
Nasikia za watu wa afya mwakani

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Mkuu ingia hapa www.utumishi.ho.tz upakuwe Ile PDF ya tangazo ili uweke hapa vijana walione.🙏🙏
 
Daraja lenyewe linapanda kwa elfu 50😂
Si kweli.

Daraja huwa ni parefu kidogo.

Kama Mwalimu wa Grade A anatoka kwenye 419,000 anaenda kwenye 535,000 utasema hiyo ni ndogo.

Diploma atoke kwenye 535,000 aende kwenye 716, 000 unaona haisaidii.

Shahada atoke kwenye 716,000 aende kwenye 950,000 hiyo Ni ndogo?

Wa 950,000 anapandishwa kwenye 1,235,000.

Mwisho wa siku, ukubwa wa kiwango cha mshahara utakaostafia ndio utadetermbie kiwango cha pension utakachokuwa unapewa.

Hivyo, utaona Ni kwa jinsi gani upandaji wa madaraja ulivyo muhimu zaidi.
 
Back
Top Bottom