Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
We kama una vyeti Omba kazi, si unakuja kuuliza wataripoti lini, kwani baada ya kuomba kazi si inafahamika kinachofuata ni kupangiwa vituo na kuripoti kazini..!!Wataripoti lini?
Mkuu kama Mtandao wako uko vizuri naomba uingie www.utumishi.go.tz upakuwe tangazo(ni pdf) alafu uliweke hap vijna walioneπππBaada ya miaka 7 hatimae vijana waliohitimu wachangamkie fursa. Kila heri kwao.
Pongezi pia kwa serikali ya Awamu ya sita kwa kuona uhitaji wa kuziba nafasi ziliachwa wazi kwa wastaafu,waliotumbuliwa na ongezeko la uhitaji.
Mkuu ingia hapa www.utumishi.ho.tz upakuwe Ile PDF ya tangazo ili uweke hapa vijana walione.ππ
Safi sana mkuu ππ
πππ€ Hapana mkuu, mama atawapa pesa kibao tuDaraja lenyewe linapanda kwa elfu 50π
Si kweli.Daraja lenyewe linapanda kwa elfu 50π
Lilikujaga kutesa watu duniani lile jamaa.Enzi za Simba wa Yuda huwezi kusikia mfanyakazi anacheka
Umesikia wapi
Kwahiyo hizi ndio ajira?Naona zinawahusu walimu,afya,kilimo,mifugo ba sheria pekee.
Pahala kwamba Ummy ameahidi wao mwakaniUmesikia wapi