Una Id nyingineWakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.
Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.
Usijali, tutalifanyia kazi mkuuWakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.
Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.
Kinachokusumbua ni chukiHawezi kufunga hata goli 1 labda walilie penalty yaa mchongo hata hio penalty watapaisha na kupiga nje
Mzee mi ni mwananchi ila leo makolo wanashinda tena zaidi ya goli 1Hakuna kitu km hicho Simba uwezo wa kumfunga Al Masry hata goli 1 hana
naona leo mko very activeUsijali, tutalifanyia kazi mkuu
Nimesema goli 3Mzee mi ni mwananchi ila leo makolo wanashinda tena zaidi ya goli 1