Tunataka siku nyingine ufiche ujinga wakoTulia wewe kwani una shida gani?
😹😹😹 Vishu Mtata njoo ndugu yetu karudi huku, yani miaka mitatu ishaisha mara hii??Moderator miaka mitatu imeisha? Au kuna kitu mmepewa?
Uache kujifanya mtabiri tambitambi siku nyingine mfyuuu..!! 😹Wewe Mwasibu umesema mimi nani nikupinge
Jamaa kaenda kulia kwa Melo hadi kaachiwa😹😹😹 Vishu Mtata njoo ndugu yetu karudi huku, yani miaka mitatu ishaisha mara hii??
Hapa ndipo ninapoamini kwamba WanaYanga wengi ni wale hamnazo. Manara hakukosea, hii statement inaeleza dhahiri una shida kwa kichwa! OverTayari na hio nyingine pia nitaweka maana mnaenda kukandwa hamchomoki