Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

Jifunzeni kutoweka ahadi kwa jambo linalofanywa na wengine..

Wewe hukuwepo kwenye maandalizi ya timu, hukutoa hata pesa ya maji, waarabu hujui wamejipangaje... wala hujui mchezo utakuwaje siku hiyo maana mpira unadunda.
 
Tayari na hio nyingine pia nitaweka maana mnaenda kukandwa hamchomoki
 
Mzee naona umefanya PLEA BARGAINING na Moderator unatembea kifua mbele in JPM voice 🤣 😂

"""Plea bargaining,
refers to the process whereby an accused and public prosecutor reach a mutual agreement without going through long court proceedings.""
Ndio ninatembea kwa kujitutumua kofua mbele kabisa nimeshinda kesi
 
Back
Top Bottom