Oooh ....we unaita sketi sisi pwani tunaita msuli.Na Sketi yako hio unanitafutia ban
Nawapongeza Mods kwa hili, naomba iwe miaka mitatu kweli na sio vinginevyoNimesema goli 3
Yaan namaanisha 3-0 au 4-0 au 5-0 hapo nipigwe ban ikiwa 3-1 hapo Simba hajashinda 3 ameshinda 2 maana amefungwa 1 na hapo aggregate itasoma 3-3 na wale watakua na advantage ya goli 1 la ugenini kwa hio watapita wao
Soma Mathayo 7:7😁😁Binti Sayuni03 naomba ule mstari wa Biblia unaosema ombeni nanyi mtapewa 😂
Goals Za Simba Ni 6Amesema goli 3 sio 2 Mods acheni uonevu
Ilitakiwa hata hii id ifutwe kabisa.Nawapongeza Mods kwa hili, naomba iwe miaka mitatu kweli na sio vinginevyo
Dah naona wameirudishaIlitakiwa hata hii id ifutwe kabisa.