Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Viranja Washamla kichwa 😁
Viranja Washamla kichwa 😁
huyu mbona bado hujamtimizia matakwa yake ActiveSawa nimekusoma mkuu
Alisema Simba akifunga Goli tatu ndio apigwe ban, Simba wamefunga 2
Huyu kajichanganya kwenye maelezo ya ndani, angesimamia goli 3 ban isingemhusuAlisema Simba akifunga Goli tatu ndio apigwe ban, Simba wamefunga 2
Mfungulieni sasa maana simba kaishia goli 2Alisema Simba akifunga Goli tatu ndio apigwe ban, Simba wamefunga 2
Wapi kasema Simba akifunga goli tatu tu.? Alisema simba akifuzu kwa namna yoyote ile apigwe BanAlisema Simba akifunga Goli tatu ndio apigwe ban, Simba wamefunga 2
Amepelekewa Pumzi Ya Moto Huko Nyuma MwikoViranja Washamla kichwa 😁
Hata title huwezi kusoma mkuuWapi kasema Simba akifunga goli tatu tu.? Alisema simba akifuzu kwa namna yoyote ile apigwe Ban
Kasema Simba akishinda goli 3 sasa ban ya nini kwani Simba kashinda 3 au mnaleta ushabiki wa ajabu Payge mfungulieni huyu acheni mambo zenu za uonevu Simba kashinda 3 wapi? Maxence Melo angalia vijana wako wanachokifanya hukuWapi kasema Simba akifunga goli tatu tu.? Alisema simba akifuzu kwa namna yoyote ile apigwe Ban
We kaaa kimya.Kasema Simba akishinda goli 3 sasa ban ya nini kwani Simba kashinda 3 au mnaleta ushabiki wa ajabu Payge mfungulieni huyu acheni mambo zenu za uonevu Simba kashinda 3 wapi? Maxence Melo angalia vijana wako wanachokifanya huku
Kashinda sita hapo vipi?Kasema Simba akishinda goli 3 sasa ban ya nini kwani Simba kashinda 3 au mnaleta ushabiki wa ajabu Payge mfungulieni huyu acheni mambo zenu za uonevu Simba kashinda 3 wapi? Maxence Melo angalia vijana wako wanachokifanya huku
SioniHata title huwezi kusoma mkuu
Kwa heri ya kuonana hadi April 2028. Mods hakikisheni hapiti tena huku hata kwa majina ya bandia,Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.
Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.
Huyu jamaa ni kama vile ameonewa. Yeye alisema kuanzia ushindi wa magoli matatu! Na simba ndani ya fakika 90 ilipata ushindi wa magoli mawili pekee. Kwa hiyo hakustahili kupigwa BAN!Alisema Simba akifunga Goli tatu ndio apigwe ban, Simba wamefunga 2
Active haya maelezo yapo wazi kabisa. Simba imepata ushindi wa goli mbili, na mechi imeamuliwa kwa matuta! Acheni uonevu.Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.
Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.