Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Active Bridger Mhariri Payge Moderator 255FixerWakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.
Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.