Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
We have devalued our shilling delibarately to attract more foreign investment and to make export cheaper...... to have favourable terms of trade in the long runMabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.
Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.
Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda
uchumi wa Meko Unakua sanaMabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.
Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.
Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda
Ongezeko hilo ni chini ya asilimia 12 (yaani chini ya 12%) katika miaka minne; au wastani wa chini ya 3% kwa mwaka. Hiki siyo kitu cha ajabu.Mabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.
Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.
Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda
Mbona mimi nimeona hii ?Mabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.
Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.
Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda
BOT waliosema (waliosingizia) mwezi January ni kawaida Dola kupanda uliwasikia?We have devalued our shilling delibarately to attract more foreign investment and to make export cheaper...... to have favourable terms of trade in the long run
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kitu cha ajabu kama kupigwa risasi?Kwa nini isiwe kinyume chake?Yaani Tsh ipande thamani?Ongezeko hilo ni chini ya asilimia 12 (yaani chini ya 12%) katika miaka minne; au wastani wa chini ya 3% kwa mwaka. Hiki siyo kitu cha ajabu.
Huyu mtu amefeli vibaya sana kwenye uchumi!!
Lakini amefanya vizuri kwenye pyu pyu pyu na kuwa[emoji1014] wenye mawazo tofauti na kuwa[emoji40][emoji40] wanachama wake..Huyu mtu amefeli vibaya sana kwenye uchumi!!
Poor you, sometimes acheni ushabiki usiokuwa na faida kwa taifaOngezeko La Tsh 300 Tu Unalalamika, Je Ingefika Tsh 1,000 ?
Haya ni matokeo ya kukurupuka na wala si vinginevyo.Kuna sababu nyingi zinazosababisha dollar kupanda, among hizo zilizotajwa kuna pia miradi ya ujenzi mingi mikubwa (SGR, Stiegler ,s Gorge, daraja la coco beach among others)inaendelea ambayo makandarasi wa kigeni wanalipwa kwenye dollar ,na kusababisha uhitaji mkubwa wa dollar. So dollar inahitajika sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungelalamika kipindi dola ilipokuwa jero n ikshuuti mpaka buku kadhaa