Leo tarehe 12/02/2019 Dola 1 (USD) inauzwa shs 2,415 toka shs 2,157 ya Disemba 2015

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Mabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.

Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.

Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda
 
Ungelalamika kipindi dola ilipokuwa jero n ikshuuti mpaka buku kadhaa
 
Tanzania Kwasasa Ipo Vema
Maendeleo Hayana Chama
 
Mabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.

Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.

Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda
We have devalued our shilling delibarately to attract more foreign investment and to make export cheaper...... to have favourable terms of trade in the long run

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.

Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.

Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda
uchumi wa Meko Unakua sana
 
Ongezeko hilo ni chini ya asilimia 12 (yaani chini ya 12%) katika miaka minne; au wastani wa chini ya 3% kwa mwaka. Hiki siyo kitu cha ajabu.
 
Mabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.

Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.

Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda
Mbona mimi nimeona hii ?
 
Attachments

  • Screenshot_20190212-090717.png
    Screenshot_20190212-090717.png
    17.5 KB · Views: 41
Kwa Tanzania inakula kwetu lakini huko Japan na china pesa zao zikishuka vs $ ni fursa kwa biashara.
 
Kuna sababu nyingi zinazosababisha dollar kupanda, among hizo zilizotajwa kuna pia miradi ya ujenzi mingi mikubwa (SGR, Stiegler ,s Gorge, daraja la coco beach among others)inaendelea ambayo makandarasi wa kigeni wanalipwa kwenye dollar ,na kusababisha uhitaji mkubwa wa dollar. So dollar inahitajika sana .

Haya ni matokeo ya kukurupuka na wala si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom