hebu fikiri kidogo .. anayebadili dollar 100,000 Kwa ongezeko la Tsh 300 ....300x100,000=30,000,000Ongezeko hilo ni chini ya asilimia 12 (yaani chini ya 12%) katika miaka minne; au wastani wa chini ya 3% kwa mwaka. Hiki siyo kitu cha ajabu.
We posho yako ya buku 7 per day si iko constant,ndio maana effects za kupanda kwa sh. 300 unaona sio inshu.Ongezeko La Tsh 300 Tu Unalalamika, Je Ingefika Tsh 1,000 ?
Hiyo sio sababu kubwa ya kushuka kwa shillingi.......suala ni kwamba tunauza nini nje? misada ya wahisani ilikua naumhimu mkubwa kwakupadisha shilling yetu haiji kwa wingi siku hizi pia watalii wameanza kua Negative perception kwa Tz wako enger kusikiliza kisa cha lissu kuliko kuja kuona wanyamaKuna sababu nyingi zinazosababisha dollar kupanda, among hizo zilizotajwa kuna pia miradi ya ujenzi mingi mikubwa (SGR, Stiegler ,s Gorge, daraja la coco beach among others)inaendelea ambayo makandarasi wa kigeni wanalipwa kwenye dollar ,na kusababisha uhitaji mkubwa wa dollar. So dollar inahitajika sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.
Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.
Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda
Mkuu hamna mwenye uwezo wa kupadisha dollar akafanikiwa hata ikiwa BOT ni market forces ndo zinazo determine bei ya foreign currencyHawa watu wa mabenki ndio wanaopandisha dola lakini wajinga wanafikiri bureau de change ndizo zinazopandisha $!
Mkuu hamna mwenye uwezo wa kupadisha dollar akafanikiwa hata ikiwa BOT ni market forces ndo zinazo determine bei ya foreign currency
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe nenda darasani jifunze uchumi kwanzaMtoa post toka mwaka jana hadi leo wewe umelima eka ngapi za nyanya? Nahisi una eka 70 za vitunguu katika shamba lako la Facebook!
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe msenge tu hiyo 300 ni ndogo mbwa ww?Ongezeko La Tsh 300 Tu Unalalamika, Je Ingefika Tsh 1,000 ?
Asa ina wingi gani..?? 300? Sema chadomo mnapenda domo utadhani mmezaliwa uzaramoni.wewe msenge tu hiyo 300 ni ndogo mbwa ww?
We are on rite traki tembeeni kifua mbeleMabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.
Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.
Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda
We have devalued our shilling delibarately to attract more foreign investment and to make export cheaper...... to have favourable terms of trade in the long run
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi theory za kukariri darasani ni shida sana.Which exports do you want to make cheaper? Since when are FDIs attracted by devaluation of currency?
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ni pesa nyingi sana itafika muda dollar ndo itaanza kutumika mana hakuna mtu atakaye kubali kupokea malipo kwa pesa inayoshuka kila sikuAsa ina wingi gani..?? 300? Sema chadomo mnapenda domo utadhani mmezaliwa uzaramoni.
Sent using Jamii Forums mobile app