Leo tarehe 12/02/2019 Dola 1 (USD) inauzwa shs 2,415 toka shs 2,157 ya Disemba 2015

Leo tarehe 12/02/2019 Dola 1 (USD) inauzwa shs 2,415 toka shs 2,157 ya Disemba 2015

Ongezeko hilo ni chini ya asilimia 12 (yaani chini ya 12%) katika miaka minne; au wastani wa chini ya 3% kwa mwaka. Hiki siyo kitu cha ajabu.
hebu fikiri kidogo .. anayebadili dollar 100,000 Kwa ongezeko la Tsh 300 ....300x100,000=30,000,000
 
Kuna sababu nyingi zinazosababisha dollar kupanda, among hizo zilizotajwa kuna pia miradi ya ujenzi mingi mikubwa (SGR, Stiegler ,s Gorge, daraja la coco beach among others)inaendelea ambayo makandarasi wa kigeni wanalipwa kwenye dollar ,na kusababisha uhitaji mkubwa wa dollar. So dollar inahitajika sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio sababu kubwa ya kushuka kwa shillingi.......suala ni kwamba tunauza nini nje? misada ya wahisani ilikua naumhimu mkubwa kwakupadisha shilling yetu haiji kwa wingi siku hizi pia watalii wameanza kua Negative perception kwa Tz wako enger kusikiliza kisa cha lissu kuliko kuja kuona wanyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu wa mabenki ndio wanaopandisha dola lakini wajinga wanafikiri bureau de change ndizo zinazopandisha $!

Mabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.

Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.

Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda
 
We are on rite traki tembeeni kifua mbele
 
Hizi theory za kukariri darasani ni shida sana.Which exports do you want to make cheaper? Since when are FDIs attracted by devaluation of currency?
We have devalued our shilling delibarately to attract more foreign investment and to make export cheaper...... to have favourable terms of trade in the long run

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom