Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

Wewe ni Mpumbavu na Mjinga. Kwa hiyo Maria kupaa ni Kanuni ya Imani na mitume? Imeandikwa kwenye biblia ipi idiot?
Hivi kwani kila kitu kimeandikwa kwa Biblia? Wapi Biblia imeandika kifo na kuzikwa kwa Bikira Maria?
 
Toa povu ila ukweli ndo huo
 
Mambo mengine yenye uwongo ulio wazi, ukitumia akili yako kuna ukweli? Ndio maana nimeukimbia ukristu na kujikita katika imani yangu ya asili. Sijui kuna nguvu gani, hata professor tena wa sayansi anaamini na kupiga magoti.
 
Maria ndio nani huyo ?
Biblia haina jina la Maria.

Halafu mnamwita Mama wa Mungu.
Mnaabudu msichokijua.
Luka 1:30
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.
 
RC is satanic!

JESUS IS LORD&SAVIOR
Roman C. nadhani Wana ajenda yao ya Siri.
Wanawaabudisha waumini wao kwa mwanamke ambaye hatajwi kabisa kwenye Biblia.
Na hajulikani ni nani.

Kama wanamaanisha Mama wa Yesu ni kwanini hawamwiti kwa jina lake halisi la Mariamu mke wa Yusufu?
Jina la Maria limeandikwa kwenye kitabu cha Katekisimu cha Wakatoriki tu.
Na sijui walilitoa wapi.
Ukiwauliza hawakujibu kabisa hata sielewi wanafikiria nini.
 
Yaani mwanadamu awe na uwezo wa kuendesha mambo kwa LOGIC halafu MUNGU aliemuumba asiwe na uuumbaji na mafundisho yenye logic ???...

Huku ni kumkosea sana HESHIMA MUNGU muumbaji ..
 
Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…