Leo timu zote za ligi kuu England kuvaa vitambaa vya kuunga mkono Ushoga

Titus Dickson

Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
49
Reaction score
20
CHELSEA ilikuwa timu ya kwanza kutangaza hilo Kupitia Akaunti yake ya Twitter, Baadae zikaja United, Man City na nyinginezo.

 
Nawashangaaga sama mbaba na mindevu yake anakimbizana na mpira hahahaha
 
Hii inamaanisha wote mnaoshangilia hizo timu mnaunga mkono ushoga.

Sasa subiri uone unafiki wa kiafrika at its best... watu wataendelea kushabikia na ku-support hizo team kwa mapenzi yao yote... alafu ikija issue ya ushoga utawaona tena hapa wakitokwa na mapovu ya hasira... alafu utawasikia wakijitete kwa majibu mepesi mepesi kama vile, 'oh mie nashabikia tu mpira'
 
Hii inamaanisha wote mnaoshangilia hizo timu mnaunga mkono ushoga.

Hapana mkuu hizo timu hayo ni mambo yao wee ukienda kwenye screen unacheki Game ikiisha na wewe unafanya mambo yako,club zina mambo mengi tu ya siri zaidi ya ushoga.cha muhimu ni kutokujihusisha au kuunga mkono vitendo hivyo au kuvishabikia,unasema napenda timu fulani kwa soka yake uwanjani.mpira ukiisha wewe na timu kwisha.
 
Kwa hiyo tuseme kwa mfano wangesema wanavaa vitambaa vyeupe kuunga mkono kuangamiza kizazi cha watu weusi, je, ungeendelea na huu msimamo wako, kwenda kucheck game lao kwenye screen?!
 
Mimi ni Mwafrika na mmoja wa Mshabiki wa Man united maana napenda burudani ya soka pia wala sisapoti vitendo vya kishoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…