Titus Dickson
Member
- Nov 14, 2016
- 49
- 20
CHELSEA ilikuwa timu ya kwanza kutangaza hilo Kupitia Akaunti yake ya Twitter, Baadae zikaja United, Man City na nyinginezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najipiga ban kuiangalia epl this weekend.Hii inamaanisha wote mnaoshangilia hizo timu mnaunga mkono ushoga.
Au tuache kabisa...kwani kitu gani bwana?Najipiga ban kuiangalia epl this weekend.
Hii inamaanisha wote mnaoshangilia hizo timu mnaunga mkono ushoga.
Hii inamaanisha wote mnaoshangilia hizo timu mnaunga mkono ushoga.
Najipiga ban kuiangalia epl this weekend.
Aiseee. Dunia inaelekea kugota.ha haha ngoja leo nikae mkao kuona mashoga
Kwa hiyo tuseme kwa mfano wangesema wanavaa vitambaa vyeupe kuunga mkono kuangamiza kizazi cha watu weusi, je, ungeendelea na huu msimamo wako, kwenda kucheck game lao kwenye screen?!Hapana mkuu hizo timu hayo ni mambo yao wee ukienda kwenye screen unacheki Game ikiisha na wewe unafanya mambo yako,club zina mambo mengi tu ya siri zaidi ya ushoga.cha muhimu ni kutokujihusisha au kuunga mkono vitendo hivyo au kuvishabikia,unasema napenda timu fulani kwa soka yake uwanjani.mpira ukiisha wewe na timu kwisha.
Hii inamaanisha wote mnaoshangilia hizo timu mnaunga mkono ushoga.
Mimi ni Mwafrika na mmoja wa Mshabiki wa Man united maana napenda burudani ya soka pia wala sisapoti vitendo vya kishoga.Sasa subiri uone unafiki wa kiafrika at its best... watu wataendelea kushabikia na ku-support hizo team kwa mapenzi yao yote... alafu ikija issue ya ushoga utawaona tena hapa wakitokwa na mapovu ya hasira... alafu utawasikia wakijitete kwa majibu mepesi mepesi kama vile, 'oh mie nashabikia tu mpira'