Leo timu zote za ligi kuu England kuvaa vitambaa vya kuunga mkono Ushoga

Kwa hiyo tuseme kwa mfano wangesema wanavaa vitambaa vyeupe kuunga mkono kuangamiza kizazi cha watu weusi, je, ungeendelea na huu msimamo wako, kwenda kucheck game lao kwenye screen?!

Mkuu huo mfano wako mbona ni vigumu kwa ulimwengu tuliokuwa nao hata kama wapo watu wanaofanya mambo ya Racism ila hawawezi kufanya kitu kama hicho.ingekuwa hivyo kitu cha kwanza ni kupigwa marufuku wachezaji weusi kucheza barani ulaya ni kitu ambacho hakiwezekani.kama watafanya hivyo ujue itakuwa ni siri ya Club tu mimi ni kuangalia ule mchezo sifuatili hayo yao ya mauzo ya nin sijui freemason likiisha game mimi nina kazi yangu.
 
Supporters nao ni mashoga inamaana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie mnaojitia kuonesha pingamizi dhidi ya vitendo vya kuunga mkono ushoga ndo msikute mnapenda kupumuliwa , we fuata burudani ya soka tu hayo mengine yatoe kwenye mfumo wako wa fikra.
 
Ukishangilia/ ukishabikia wanavyocheza uwanjan unakuwa umeshabikia Na ushoga wao? Nauliza tu
 
Mashoga tu ndiyo watavaa.

Ligi kuu iana mashoga wengi sana wadhahiri na wasiri.

Wazungu mamo ya laana na kukufuru wamezidisha mno. Neema zimewazidia na kufuru wanazidisha, yetu macho.
Eeeh afadhali maana nilihisi faiza atakuja kutoa bonge la kometi hapa hadi waangalia mpira tukome.
 
Mimi naangalia tu cha msingi nafuata burudani ya soccer tu hayo mengine nawaachia wahusika wakuu


Mimi ni Mwafrika na mmoja wa Mshabiki wa Man united maana napenda burudani ya soka pia wala sisapoti vitendo vya kishoga.
Kuna siku ilipikwa nyama ya nguruwe, jamaa mmoja akasema " mi nguruwe sili nakunywa tu mchuzi"
 
Mpira ni ushetani . Watu wanatumia muda mwingi sana kwa anasa za duniani lakini kuutafuta ufalme wa mbingu unaopatikana bure ni shida kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…