DellaPina
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 1,011
- 3,471
Kwa hiyo tuseme kwa mfano wangesema wanavaa vitambaa vyeupe kuunga mkono kuangamiza kizazi cha watu weusi, je, ungeendelea na huu msimamo wako, kwenda kucheck game lao kwenye screen?!
Mkuu huo mfano wako mbona ni vigumu kwa ulimwengu tuliokuwa nao hata kama wapo watu wanaofanya mambo ya Racism ila hawawezi kufanya kitu kama hicho.ingekuwa hivyo kitu cha kwanza ni kupigwa marufuku wachezaji weusi kucheza barani ulaya ni kitu ambacho hakiwezekani.kama watafanya hivyo ujue itakuwa ni siri ya Club tu mimi ni kuangalia ule mchezo sifuatili hayo yao ya mauzo ya nin sijui freemason likiisha game mimi nina kazi yangu.