Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Much appreciation to u brother, nyuzi zako nyingi zimebeba mambo makubwa na mazito ambayo hauwezi kuyapata sehemu nyingine yoyote ile zaidi ya hapa JF.
Nilikua nasoma huku natafakari huyu jamaa ni nani haswa maana upeo wake ni wa juu sana.
Ingekuwa ni kipindi hichi unadondosha mawe juu ya mawe dah members wangesema unatumia AKILI MNEMBA.
Mshana Jr much respect bro kutwa nzima leo nilikuwa napitia nyuzi zako.