Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Kwani akili ninini?Ni lini nilikwambia Nina akili😂
Kwani akili ninini?Ni lini nilikwambia Nina akili😂
Mshana Jr alikuwa AI kabla AI haikugunduliwa!Much appreciation to u brother, nyuzi zako nyingi zimebeba mambo makubwa na mazito ambayo hauwezi kuyapata sehemu nyingine yoyote ile zaidi ya hapa JF.
Nilikua nasoma huku natafakari huyu jamaa ni nani haswa maana upeo wake ni wa juu sana.
Ingekuwa ni kipindi hichi unadondosha mawe juu ya mawe dah members wangesema unatumia AKILI MNEMBA.
Mshana Jr much respect bro kutwa nzima leo nilikuwa napitia nyuzi zako.
ok.🐒Much appreciation to u brother, nyuzi zako nyingi zimebeba mambo makubwa na mazito ambayo hauwezi kuyapata sehemu nyingine yoyote ile zaidi ya hapa JF.
Nilikua nasoma huku natafakari huyu jamaa ni nani haswa maana upeo wake ni wa juu sana.
Ingekuwa ni kipindi hichi unadondosha mawe juu ya mawe dah members wangesema unatumia AKILI MNEMBA.
Mshana Jr much respect bro kutwa nzima leo nilikuwa napitia nyuzi zako.
Ni kweli kabisa.. na ndio maana unaona kama jeiefu imepoteza ladha yake ....Lakini pia usisahau serikali kwa upande mwingine imechangia hii Hali ya watu kupotezwa kuandika mambo sensitive na yenye factt kutokana na ukandamizaji wa vyombo vya habariTatizo la kizazi cha sasa ambacho hapa JF pia kipo, hawana muda wa kutumia sana maarifa na akili kuwasilisha mawazo yao...
Hii imepelekea hata wakongwe wenye kuweza kuandika habari za maana, kuona hakuna haja ya kuandikia hadhira itayosoma na kuuza tu kilichoandikwa...
Mpaka ccm walipoamua kumchukuaHata Bashe alionekanaga genius kipindi fulani.
Au wakutupie jini?Multiple IDs at work
Nyuzi zako za miaka hiyo unakuta logic imepangiliwa kisawa sawa mpaka najiuliza au wewe ndiyo ulikuwa AI mwenyewe before AI 😂😂.Nilifanya part yangu mkuu kwa wakati uliokubalika na ulio sahihi.. Sasa hivi mimi ni mstaafu hata akili nayo imechoka.. Na nikjaribu kuandika kama zamani wanasema ni AI😂😂😂
Ukajichukulia credits tu mwenyewe 😂 ,haya mpe credits zake hapa maana bado tunayeKuna topiki moja mshana aliielezea kuhusu mto(river) unavyotoka milimani na kumwaga maji yake baharini.. jinsi Namna mto unavyokuwa na mbwembwe ila ukifika baharini unatulia... Zile nondo nikazibeba kama zilivyo nikawa nazitoa kwenye kijiwe kimoja hivi tunapiga stori..asee watu walinichukulia kama mwanafalsafa with deep thinking capacity....😎😎😅😅..nilichukua credit na point tatu za juu yaani..
Yuko njema sana ..na ndio hata amenifanya kufuatilia mambo magumu magumu kama espionage, hidden world history na makala fikirishiNyuzi zako za miaka hiyo unakuta logic imepangiliwa kisawa sawa mpaka najiuliza au wewe ndiyo ulikuwa AI mwenyewe before AI 😂😂.
Big up sana mzee wa maulozi😎🫡
Halafu sijaona espionage story zako hivi karibuni,kama zipo nitagg mkuu nikaongeze maarifa🙏Yuko njema sana ..na ndio hata amenifanya kufuatilia mambo magumu magumu kama espionage, hidden world history na makala fikirishi
Halafu sijaona espionage story zako hivi karibuni,kama zipo nitagg mkuu nikaongeze maarifa🙏
Zipo mmdauHalafu sijaona espionage story zako hivi karibuni,kama zipo nitagg mkuu nikaongeze maarifa🙏
Atapewa tu asihofu🤣Ukajichukulia credits tu mwenyewe 😂 ,haya mpe credits zake hapa maana bado tunaye
Hii uliipitia? James Kanyotu: Mkuu wa idara ya ujasusi wa Kenya aliyeamua kwenda kaburini na Siri za Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi.Halafu sijaona espionage story zako hivi karibuni,kama zipo nitagg mkuu nikaongeze maarifa🙏
Yeah hii nimeisoma weekend nikaimaliza yotee